DIRA:
Kuwa na taasisi yenye ubora WA kimataifa katika utafiti wa kilimo, mifugo na maliasili za matumizi kwa ajili ya ufumbuzi WA changamoto za makulima na wafugaji
DHAMIRA:
Kuongeza Tija, Kuukuza teknolojia, maarifa na ubunifu na uendelevu wa sekta ya kilimo na Mifugo ili kuwa na uhakika wa chakula