Lengo la ZALIRI:
Kuchangia katika kukuza uchumi kwa kuendeleza Sekta ya kilimo nchini kupitia utafiti na kubuni teknolojia za kisasa na kuzipeleka kwa wadau.