Mkurugenzi wa ZALIRI Amefurahishwa na utekelezaji wa jaribio la afya ya udongo huko MTOWAPWANI na amewataka wakulima kufuata ushauri wa wataalamu kutoka katika Taasisi ya ZALIRI na mabwana shamba ili kupata zao bora na lenye tija.
Pia aliwataka wakulima watumie mbolea kwa kufuata ushauri wa watalamu na kuwacha kilimo cha mazowea