Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo-Zanzibar

Katika Ziara yake hiyo balozi nJen ameahidi ushirikiano baina ya taasisi ya ZALIRI na taasisi za utafiti wa Kilimo na Mifugo za Australia

Pia ameahidi scholarship za masomo kwa wafanyakazi wa ZALIRI kwenda kusoma Australia. Hata hivyo amefurahishwa na matembezi hayo kwa kujionea miti ya aina tofauti kama kungu manga, mikarafuu, mihiliki, mikokoa.

Hata hivyo amemkaribisha mkurugenzi mkuu wa ZALIRI KWENDA katika ubalozi wa Astralia ulokuwepo kenya