Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo-Zanzibar

Lengo la ZALIRI:

Kuchangia katika kukuza uchumi kwa kuendeleza Sekta ya kilimo nchini kupitia utafiti na kubuni teknolojia za kisasa na kuzipeleka kwa wadau.