
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo Zanzibar aishukuru serikali ya Norway kwa kutupa pesa kwa ajili ya mradi wa uwezeshaji wa taasisi ya kutunza afya ya udongo ili kuporesha secta ya kilimo na kupunguza athari za tabianchi Tanzania
Ameyasema hayo leo katika mafunzo kwa mabibi shamba na mabwana shamba pamoja na watafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo Zanzibar.
Mradi huu ni wa miaka mitatu ambao unatekelezwa na taasisi ya TARI na ZALIRI. Pia awapongeza wote waliondaa kitabu cha muongozo katika utunzaji wa afya ya udongo.